MZRH · Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
2503456/2503351   Login

Departments

Huduma zetu / Idara zilizopo

Ngozi/ skin

Ngozi

skin

Tunafanya uchunguzi na matibabu ya ndani ya ngozi na madaktari bingwa

Administration

Utawala

Administration

idara ya uongozi inayo shughulikia maslahi ya wafanyakazi

Mama na mtoto

Mama na Mtoto

Reproductive & Child Health

Huduma za mama na mtoto zimeboreshwa.

Dharura na ajali

Dharura na Ajali

Emergency Medicine

Kitengo cha magonjwa ya dharura na ajali kimeboreshwa

Wazazi na Vichanga

Wazazi na Vichanga

Neonatal Unit

Kitengo cha wazazi na vichanga kimeboreshwa

Watoto

Watoto chini ya miaka 5

watoto

tunatoa huduma za matibabu ya watoto chini ya miaka 5

Uhandisi

Uhandisi

Idara ya Uhandisi

Idara inayohusiana na matengenezo ya vifaa na vifaa tiba vya hospitali

meno

Meno

Dental

Tunatoa huduma ya kutibu meno na magonjwa ya kinywa kwa ujumla

Idara ya watoto

Idara ya Watoto

Paediatric Clinic

Tunatoa huduma ya afya kwa watoto kuanzia umri wa mwezi mmoja hadi miaka 15

Maabara

Maabara

Laboratory

Tunapima vipimo vya aina yote.

Obstetrics/Gynecology

Mama wajawazito

pregnancy

Tunachunguza na kutibu magonjwa yote yanayohusiana na mfumo wa uzazi pamoja na mama wajawazito

Magonjwa ya Ndani

Magonjwa ya Ndani

Internal Medicine

Tunahuduma ya magonjwa ya ndani

pharmacy

Dawa

dawa

Tunatoa huduma ya dawa mbalimbali

Macho

Macho

Opthalmology

Tunawataalamu waliobobea kwenye matatizo ya macho.

Maskio, Pua na Koo

Maskio, Pua na Koo

Otorhinolaryngology (ENT)

Tunawataalamu waliobobea kwenye matatizo ya maskio,pua na koo.

Copyright / Hakimiliki © 2023

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
Mbeya Zonal Referral Hospital

Tovuti imetengenezwa na idara ya TEHAMA, Yaliyomo yanasimamiwa na Afisa Habari wa Hospitali.
Wasiliana Nasi